- Hilde Coffe
Mbinu ya kibinadamu na huruma ya Jacinda Ardern ilitafuta kupata sauti ya upatanisho. Hakuna mahali ambapo jambo hili lilidhihirika zaidi kuliko majibu yake kwa mashambulizi ya kigaidi ya Christchurch aliposema, "wao ni sisi", akikumbatia jamii za wahamiaji na wakimbizi zilizolengwa.